hata kama ingawa sikusikia.inafahamika mtu unaweza kuteleza.kisa kipo katika al hadith."kulitokea zama fulan msafir mmoja alikua jangwan sasa katika safar na ugumu wa jangwa alifika.mahali akapumzika, akapitiwa na usingiz,ulivompitia kuja kuamka akakuta mnyama wake hayupo na ndio tegemez wake maaana alikua kabeba kila.kitu chakula,maji kila kitu cha kumfaa.alijawa na huzun sana akawa anatembea tu na kwenda sasa bila kuwa nachochote.kaenda sana mwishoe mbele kabisa baada ya masiku kadhaa akamkuta mnyama wake Na kila kitu,kwa ile furaha akasema ee mwenyezimung mim ndio mola wako na wewe mja wang.kwa furaha.lakin hakuwa na.kosa n8 kupitiwa na maneno na furaha.'
uache wivu wewe kama hukupata nafas maishan mwako kaa ushukuluu baah.
Sent using
Jamii Forums mobile app