Nakuchukia Baba yangu

Tuungane kumchukia baba..
Wewe na mimi hatuna tofauti kabisa an
 
Ni kweli mwanaume haamki tu na kukimbia familia au watoto, huwa inawezekana amekutana na mchepuko uliompumbaza, ulevi au kuchanganyikiwa.
Hii hoja ya mchepuko kumpumbaza mtu sioni kama ina nguvu sana kwa mwanamme anayejielewa.

Either awe amepumbazwa kwa kutumia madawa ila siyo akili zako timamu.

Sababu nasoma na kusikia habari ya kukimbia familia hasa kutoka nje ya miji, as mashambani huko.
 
Sawa, lakini baadae mzee akipigwa na maisha msimwambie kijana baba ni baba.
Kama wwe na baba yako ni damu moja,wala hutalazimishwa na watu kumsaidia Dingi yako,wwe mwenyewe damu itakuvuta kusaidia,lakini kama siyo damu moja, wala hutakuwa na hisia za kumsaidia!!
 


Be a good dady Kwa watoto wako na wewe uone kama ni Jambo rahisi

Kama alikimbia then alikuwa na sababu zake
 
Kama wwe na baba yako ni damu moja,wala hutalazimishwa na watu kumsaidia Dingi yako,wwe mwenyewe damu itakuvuta kusaidia,lakini kama siyo damu moja, wala hutakuwa na hisia za kumsaidia!!

Mzee ueleweki kabisa, naona unarukaruka tu kama popcorn
 
Damu nzito kuliko maji, tafakari hilo, ila kama umepata baba mwingine hapo sawa!!

That's double standard bruh, damu nzito goes both ways ndio maana yake baba unatakiwa kumlinda mwanao kwa hali na mali
 
Hayo majibu si amekupa mama yako!?? ..... Baki nayo hayohayo ukija kujua ukweli unaweza mchukia mama yako zaidi .... Sumu za single mothers Kwa watoto ni mbaya sana ...
 
Umeruka stage. Mpk anafanya hvyo sbb n nn
2. Unaihukumuje historia ukiwa leo na una akili timamu kichwan. . Haujihisi ww ndo mkosaji
 
Hayo majibu si amekupa mama yako!?? ..... Baki nayo hayohayo ukija kujua ukweli unaweza mchukia mama yako zaidi .... Sumu za single mothers Kwa watoto ni mbaya sana ...
tofautisha kati ya single mummy na family iliyotelekezwa na mzazi mwenza.
 
Chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu nashauri ukatae upumbavu jipe muda kaa mbali na baba yako kama yeye alivyoamua kataa umasikini na ujinga miaka kumi baadae au zaidi utakuja kumuelewa Baba yako kwanini aliwaacha na hapo ndipo utakapoanza kumpenda na kumheshimu na mafanikio yako yataanzia hapo.
 
Hii situation hata mimi nilipitia aisee najikuta nakuwa mgumu kabisa kusamehe kirahisi
 
Unamtelekezaje mtoto/watoto ? Hapo wanaume tunaharibu na kustahili kubeba lawama. Ugomvi wa wazazi waathirika ni watoto.
 
Endelea kusheherekea na kuimba hakuna kama mama kabla hujajua chanzo cha migogoro na historia ya baba yako! Mwanamke killer kwenye kimvuli cha upendo na nakuahidi ukibahatika kuwa baba yapo mengi utajifunza hasa ukiwa na mke wako!
 
Jitu umeshakua mtu mzima Bado unalialia kwani ukimchukia unampunguzia nini?
 
Unaweza mchukia baba kumbe ww ni mtoto wa njee ya ndoa
Na mama yako ni mke mdogo kimada

Ata ukimchukia baba haitobadiri nafasi yake ktk maisha yako cha muhimu pambana na maisha yako ili uje kua mfano bora kwa familia yako.

Chuki zako hazisaidii na laana zako usizani ata sku moja zitamfikia.

Shida ya wajinga huwa tuna amini aliekutendea ubaya ipo sku utamrudia kumbe ni probability
 

Kwa mfano atakupa sababu gani umuelewe? Toa mfano tu sababu gani inayokufanya unitafute uzeeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…