Mzee where are you heading?Kuna tofauti kati ya maneno kufahamu na kujua. Kwa mfano Mtu ukisema 'namfahamu vizuri sana Anna' kuna tofauti na kusema 'namjua vizuri sana Anna'?
Adam AKAMJUA mkewe, akazaa mtoto wa kiume akamwita Kaini, ... akaMJUA tena akazaa wa pili akamwia Abel ........... akaMJUA tena, akamzaa Lameck........
Haya maneno wala sijui yamekaaje. Ni sawa na Kukazana au MTU MZIMA.....
Kuna tofauti kati ya maneno kufahamu na kujua. Kwa mfano Mtu ukisema 'namfahamu vizuri sana Anna' kuna tofauti na kusema 'namjua vizuri sana Anna'?