Nakupatieni ufunuo ya kwamba, bata anakihitaji kile kiota cha makao makuu.
Hivyo mgawanyo wa mali utakapofika kiota kitaamuliwa kuuzwa, halafu bata atatumia ujanja na kukirejesha mikononi mwake.
Kwakuwa inadaiwa jalala ambapo kiota kimejengwa ni mali ya bata.
Kifaranga anayelalama kwa pilato anatumika tu.