Nakuhitaji mume

Nakuhitaji mume

Jewel40

New Member
Joined
Feb 5, 2025
Posts
1
Reaction score
9
Wasalaam wanajamvi,

Kama kichwa Cha habari kisemavyo,nimejitokeza kuiutafuta mwanaume aliye na uhitaji wa mke.Uwe na umri kuanzia miaka 35, mkristo, mkweli na muwazi.

Tafadhali nitumie ujumbe Pm ikiwa una nia.Karibuni
 
Oh my buh!
 
mimi siwezi kuishi bila wewe, njoo pm na id yako ya zamani nikuoe nyumba ndogo
 
Wasalaam wanajamvi,

Kama kichwa Cha habari kisemavyo,nimejitokeza kuiutafuta mwanaume aliye na uhitaji wa mke.Uwe na umri kuanzia miaka 35, mkristo, mkweli na muwazi.

Tafadhali nitumie ujumbe Pm ikiwa una nia.Karibuni
Kutokuwa muwazi kwa wanawake kumenikosesha mke
 
Mlioenda tupeni mrejesho kama mmeshindwana ila kikosi kazi niingie kumnusuru bibie
 
Back
Top Bottom