Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Uzito WAKO??
Na UREFU WAKO MKUU??
KINA KAZI YALAKIMOJÀ KULA KULALA JUU YAO KUMHUDUMIA MGONJWA TU KUMWOGESHA NK
 
Ukifika Dar utakuta ndugu zako wanauza kahawa!mtaji sidhani hata dola 4usd inafika kila la kheri mkuu!itakuchukua 20years kutoboa kimaisha

Sent by Diaspora
Mkuu naona umekariri tu kuwa wauza kahawa hawatoboi.
mjini usiamini kila uonalo kuwa ndivyo ilivyo.
mara nyingine biashara ndogo ni geresha watu wanasoma ramani, ikiitika mtu analamba dume na kusepa kwenda kuanza maisha mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nduguzako wanakopesha vyombo huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije umeweka nguo kwenye ile mifuko yenu ya salfet ya draft draft.mnaharibu mazingira.
 
Hili linawezakuwa tusi?
HAPANAAA UJAELEWA KWANN TUSI SIOKAZI MKUU AISEE UNATAKAAA KUUZA DUKAN AMA KUUZA GESI??PAMBANÀ NA UTALACHOANZA NACHO KILAMTU ALIANZA CHINI

KUHUSU UZITO SIJAKOSEA NIKO SERIOUS MTU ANAEHUDIMIWA N MREFU NA ANA KA UZITO KIDOGO SO SIPENDI UFIKE PALE UBAKIE MNAANGALIANA SURA ...UNAHITAJI KUWA NA NGUVU ZA HAJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…