Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Anauliza the great anapajua wakati nimemwambia aje tabata barakuda mda tu njoo tabata barakuda utakula na utalala na kazi juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waha kwa ubishi ni balaa,
Kuna siku kigoma jamaa wakaandika barua ya kuomba mechi ya mpira Wa miguu ya kirafiki na kijiji cha jirani, kijiji cha jirani wakakubali ombi lao, ikafika siku ya mechi Mara refa akaanzisha mpira ukaanza, ikafika dakika ya 79 ikawa droo ya bilabila maraa paaa ikatokea Mpira Wa kona, kona ikapigwa jamaa akaruka akafunga goli kwa kichwa refa akaita kati, wale Waha walikataa katakata kua lile sio goli na wakavuruga mechi eti kwanini amefungia goli kichwa wakati barua imeandikwa Mpira Wa miguu? Chezea Waha nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…