Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ukifika Dar utakuta ndugu zako wanauza kahawa!mtaji sidhani hata dola 4usd inafika kila la kheri mkuu!itakuchukua 20years kutoboa kimaisha

Sent by Diaspora
Aiseeeeee....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Si hawa akina manengelo? Wambie wanisaidie, waache stori.

Sio watu wabaya wana mitizamo tofauti, mfano unachukua risk kubwa sana bila kujipanga mapema. Ila kwa sababu uko njiani ni bora ufike pale ubungo, nje ya kituo utaongea wauza mihogo ukinunua mihogo ya 200, wauza chips kahawa, matunda.

Inabidi uwe na uwezo wa kuwasoma watu mapema, wakweli au waongo wengine wanaweza kufikiri una pesa nyingi. Kwahiyo uwe makini. Baadaye utajipanga. Wengi watu wa Dar wametoka mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…