Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Kuna mtu alikuja huku analia shida
Watu nafsi zikawataka wamsaidie
Baadae amekuja kujulikana ni tapeli

Niliponea kwenye tundu la sindano
Toka hapo siamini mtu anaeomba msaada jf
Ahaa yule jamaa.... mpuuzi kweli yule...watu walimuumbua na thread zake za nyuma
 
Halafu pia kuna baadhi ya Id katika huu uzi ni za mwezi december na tarehe hazijapishana sana na comment zao zinaendana sana. Wait tuone tusijudge kwanza kabla hatujaujuwa mwisho wa huu uzi

Naendelea hapo chini...
Yeah lets wait and see

We endelea hapo chini mkuu usiwe na wasiwasi,

Nawasiwasi huyu ni mwanachama mkongwe sema anatumia new ID kwa lengo fulani, haiwezekani hauna hata wiki mbili JF unajua kucommennt, kumention majina na anaonekana ana uzoefu kupita maelezo wa kujipambanua kwenye thread, kubwa zaidi huwezi kuingia jamii forum just within a week ukaanza kutiririka matatizo yako na kuomba msaada

Anyway sitaki kumjudge sana ila sometimes we need to reason

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kaweka namna yake hapo, anaweza akawa yuko sehemu ngumu kuingia JF, yeyote anaweza kumpigia kupata uhakika akarudisha taarifa hapa.
 
Kujiuliza ni lazima lakini napata ukakasi kuna member humu kakutna nae makumbusho na kampa nauli na picha ya huyo dogo ikapostiwa humu akiwa ndani ya bus. Ina maana kama dogo ni tapeli ina maana hata member mwenzetu aliekutana nae alishindwa kulitambua hilo??

Ile picha ya dogo inaweza kukushawishi kuamini dogo anahitaji msaada lakini pia ujuzi wake wa kuitumia JF kama kuquote na kutag watu ameajuaje haraka hivi na ilhali yeye ni darasa la Saba?? Sijui walomtumia pesa waliongea nae vipi japo kwa njia ya simu ni rahisi kupigwa changa la macho.

Kama ni kweli anahitaji msaada hapa tutajifunza kitu kwenye maisha kupitia safari ya huyu dogo na kama ni tapeli pia tutajifunza kitu kwenye maisha yetu. Tuendelee kuendelea hapo chini mkuu

Naendelea hapo chini...
 
Nafikiri hili jamaa lingekuwa lipo dar na linashida lingeshauza hiyo simu janja mpaka sasa ....nahisi linachezea akili za watu tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza haiingii akilini mtu utoke nyumbani from no where uende mjini hujui unapokwenda kuanzia, especialy watu wa vijijini huwa ni waoga wa maisha atlist angekua mtu ambae ameshakaa mjini ni rahisi kwenda kutafuta maisha popote ila hawa wa vijijini mara nyingi huwa wanategemea kuvutwa na ndugu au marafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata kama jamaa ni tapeli,kwani shida ipo wapi? kwani kati yetu kuna mtu yeyoye aliefika hapo bila kudanganya.acheni izo
 
Wapo,
Ila huyu kwa umri aliokuwa nao ni mdogo sana.

Darasa la saba kwa umri huu, hawezi kuwa na exposure ya kuijua JF, kufungua email, kujiunga na kuchangia hivi.

Huyu hana hata 20yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuwa na akili mgando!!
Mm nimeijua jf na kuanza kuitumia nikiwa na miaka 16 tu na nimekaa na watu wanajua mm ni mbaba.. unajua sasa iv nina miaka mingap!! Badirikeni kua na umri mkubwa sio kujua mambo

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…