Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sanaHabari wakubwa
Naomba niseme tu nmechoka kukaa nyumbani kua kula kulala, maisha ya kukaa nyumbani yamenichosha natamani na Mimi nianze kujitegemea nianze kulipa Kodi,ninunue chakula kwa pesa yangu mwenyewe
Fursa unaziacha Mwanza mkuu usije mjiniHabari wakubwa
Naomba niseme tu nmechoka kukaa nyumbani kua kula kulala, maisha ya kukaa nyumbani yamenichosha natamani na Mimi nianze kujitegemea nianze kulipa Kodi,ninunue chakula kwa pesa yangu mwenyewe
Nina shilingi 160K ambayo itabai baada ya kulipa Kodi ya miezi mitatu (105000) ninaishi mabatini,Mwanza Sasa nakuja Dar na nimedhamilia kuja kutafuta maisha Huko naomba ushauli wa maisha ya huko nimepanga kuja kuishi Tegeta nimeambiwa Kuna vyumba vya bei rahisi(35K)
Hivyo wenye uzoefu na Tegeta naombeni ushauri biashara gani huko kwa mtaji wa 160K itanifaa
AsanteBiashara;
1. Utanunua Matunda mazuri utayakata na kuwawekea kwenye vikontena na Toothpick kwa gharama ya 1500,
2. Uza Samaki wa Kukaanga au Pweza na Ngisi
3. Uza Kuku wa kukaanga vipande.
4. Uza Mishikaki na Ndizi
5. Mayai ya Kuchemsha, kuna Mashine zipo Mayai yanakua hayapoi, wateja unawamenyea na kuwawekea chumvi (sijajua mashine zauzwa kiasi gani)
NB: Wafanyabiashara wadogo wadogo siku hizi hawatakiwi mjini, utapambana upate sehemu nzuri usisumbuliwe.
Hahahah Fid Q kaimbaFursa unaziacha mwanza mkuu usije mjini
Na je biashara ya uvuvi una ujuzi nao?ukitaka kuingia rasmi unaitajika uweje kuanzia mtaji?Njoo nikuunganishe ukavue samaki Baharini.
Kwa siku mkipata unaweza kusahau umasikini na ukikosa unakosa kweli.
Uvivu kamali
Mtaji nguvu
Kama upo Tayar ncheki PM
Hapo aeleze kiundaniNa je biashara ya uvuvi una ujuzi nao?ukitaka kuingia rasmi unaitajika uweje kuanzia mtaji?
Nauliza hivi sababu kuna kipindi nikikuwa naenda beach maeneo ya warioba
Ni kila siku nikawa nawaona wavuvi mida ya jioni wanaingiza boti zao mida kama sa nane wakirudi inakuwa kama saa 12 jion na samaki
Wanaanza kutoa kwanza samaki za boss then za kwao wanauza pale pale wanaondoka na elf 50
Kwa kipindi kile niliona ni biashara nZuri kuliko hata daladala
Ningeomba ushauri wako asee
Kama una upeo wa kuionaWahindi na waarabu wametoka kwao wakaja zenji fursa ipo popote