Mm nikutie moyo ww jilipue njoo Dar es salaam....kikubwa usiwe na mkono wa wizi...
Hapa ni dar es salaam Wala sio south Africa....
Nafaham washikaji walikua wanalala nje Leo Wana kwao hapa hapa DSM....
Karb DSM ukikwama nitafute ntakupa support Kwa kadri ya uwezo wangu.....
Ila tu USIWE MWIZI
Napenda sana siku Moja urud hapa Utupe testimony nzurii ya mafanikio....
Japo maisha ya dar gharama na hayapo kiujamaa......
Pia mwombe MUNGU akuepushe na mabalaa na uwe mtu mwenye bahati....usisahau kumwomba akukutanishe na watu sahihi...
The rest itabaki history.....
Fanya kile unacho amini ni sahihi....Karb DSM,