Mzee uliruka stage ya utoto au?? Maana nyuzi unazoandika ata mwanangu hawezi kuwa na akili mpakato kiasi hiki..rubbish kabisa!
Mshana inawezekana kuna mtu ame hack account yako ww ni mtu wa nyuzi fikirishi, hufananii na nyuzi za hivi.
Ungemu-ignore ingependeza zaidiUjatenda haki....
Ugwadu umekuzidiaNaanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome
Huu sio uzi fikirishi? Kumbe bado uko nyuma sana kwenye kutafakari.. .Mshana inawezekana kuna mtu ame hack account yako ww ni mtu wa nyuzi fikirishi, hufananii na nyuzi za hivi.
EwaaaWapuuzi huwa hawajibiwi
Ukifika bandarini tafazali nibeep. Niko geti namba 3Hapana ni mimi kabisa basi tu nimekumbuka zile nyuzi za new members wa MMU
BarikiwaKiasi[emoji12]