Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Naanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome