Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Tutakufahamje?Kesho nasafiri from Mwanza to Dar then Zanzibar
Wanajf mliopo hayo maeneo naomba mnipokee kwa upendo na amani ikiwa ni pamoja na kufahamiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakufahamje?Kesho nasafiri from Mwanza to Dar then Zanzibar
Wanajf mliopo hayo maeneo naomba mnipokee kwa upendo na amani ikiwa ni pamoja na kufahamiana
Weee cute wewe yeyote ndo nini? chagua moja uwarahisishie watu kazi[emoji1]Yeyote tuu!
Basi karibu, utanikuta Magufuli bus terminal dearYeyote tuu!
Umefurahia huo ugeni hadi unakimbia kimbia "tunakusuri"ndiyo nini?😀Karibu sana mkuu tunakusuri
ghetto ni sehemu duniKwani tafsiri ya gheto ni ipi?
Me navyojua getho ni makazi ya mtu ambaye hajaoa ama kuolewa.Hata kama ni nyumba nzima ama single self, double self etc.Au mimi sielewi?
Maziwa ya kunywea ugali? Yaani unakunywa ugali?Ujage na sangara na maziwa ya kunywea ugari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivyo hivyo kama wanavyo fanyaja WASUKUMAMaziwa ya kunywea ugali? Yaani unakunywa ugali?
[emoji1787][emoji1787]
Lkini pia gheto, wakati mwingine linaonekana kama neno la kihuni.Nadhani ni hivyo.Kwasababu ukioa ama kuolewa inakuwa inaleta ukakasi pale unaposema naenda getho.
Mkuu unatubania ridhiki? Acha wanaume tukampokee na sisi tufaidi kdgo bhana, alaaaBasi karibu, utanikuta Magufuli bus terminal dear
na mimi nitakuja dar hivi karibuni naomba mpokeo wako hapo getto😂Unataka upokelewe na jinsia ya kiume? ama hata sisi wadada tunaweza kukupokea? Karibu sana ghetto la kike😂