Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
teh!teh!teh!Rejao noma!mi mwenyewe namkubali jinsi anavyowatoa watu mapovu!eti nasikia ni dereva STK ni kweli?ajitahidi apande cheo awe mbeba mifuko ya rambo wa baba mwanaasha atapanda pipa mpaka acheue nanyi mtakula per diem mpaka mpasuke!
Pole swahiba, mungu ni mwema ataenda kumponya dada yetu..wakuu!dada kahamishwa,uko alipohamishiwa si kakosa kitanda!dah!habari hiyo usiombee ikukute!imebidi tuzame mfukoni anahamishwa private ward!naumia kwa vile najua si kila mtz atamudu option hii!na sasa stories za India zimeanza!anaweza pelekwa india for surgery!eti ni complicated surgery!
Hahaha! Pole kwa kuuguliwa na baba., .kesho asubui nitaenda Boko Basihaya kumuona mgonjwa wangu wa pili ambaye ni baba yangu mzazi!he was born 1933,ever suffered stroke,na uzee na magonjwa yanayoendana na uzee basi tabutupu!eh!nimekumbuka humu ndani kuna member anaitwa TABUTUPU!
Tunamuombea!mgonjwa wangu wa kwanza ambaye ni dada yuko muhimbili!ndio niko hapa,taratibu zinafanyika kumuhamisha now kwenda Moi ili afanyiwe operesheni!ni mguu tu eneo la paja unauma kiajabu!maombi yenu muhimu!
Tunamuombea!
Ina mana toka jana bado hujapata mwenyeji yeyote wa jf?tumeshakamilisha taratibu za kumuhamisha hapa MOI private ward!ngoja sasa turudi mtaani!wapenzi wa mpira wa chelsea maeneo ya sinza mpira mnaangalia wapi nije niwape kampani kidogo nijiliwaze!maana wagonjwa wawili serious at a time ni noma!
Ina mana toka jana bado hujapata mwenyeji yeyote wa jf?
karibu mpaka ndani!
Ukifika Boko Basihaya, maeneo ya nyumbani kwa ODM tafazali nibipu nikupe pole kwa vibia kazaa. Ulizia baa yaitwa Etiennes almaaruf Baa Mpya. PM mimi kwa contacts.kesho asubui nitaenda Boko Basihaya kumuona mgonjwa wangu wa pili ambaye ni baba yangu mzazi!he was born 1933,ever suffered stroke,na uzee na magonjwa yanayoendana na uzee basi tabutupu!eh!nimekumbuka humu ndani kuna member anaitwa TABUTUPU!
Ungepata memba akakupa kampani ingekuwa nzuri zaidi...sijapata,usijali,mi mwenyeji huku,born here,schooled here,grown here!maisha yanaendelea!
Ungepata memba akakupa kampani ingekuwa nzuri zaidi...
dah kweli memba wa dar wapo busy ingekuwa arusha ushapokelewa toka majuzi ulivyofika..
Kweli Mc T, arusha tuko vizuri kwenye suala la kupokea wageni...arusha sisi noma,day 1 ungeshapelekwa machame luxury kula firigisi,day 2 rexona ugali mnafu,day 3 cleopatra kupata supu ya kichwa cha mbuzi,mchana tungeshakupeleka ken garden ukajichagulie mwenyewe,siku ya kuondoka ugali kuku choma kwa maresi,ukijifanya jeuri sana tunaenda kukuripua mrina ujibebee zawadi ya kupeleka utokako!lol
Ungepata memba akakupa kampani ingekuwa nzuri zaidi...
dah kweli memba wa dar wapo busy ingekuwa arusha ushapokelewa toka majuzi ulivyofika..
karibu Daslamu.....