Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

Nakuja Dodoma naomba A B C za huko

Naendelea kufanya utalii wa ndani hapa Dodoma, nimezunguka sehemu baadhi kama vile bungeni, benki kuu, wizara mbalimbali, hotels mbalimbali, vyuo vikuu mbalimbali, kumbi mbalimbali nk,kwa kweli nimepapenda, sasa nataka nikapumzike mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyeji wa Dodoma leo nakuja huko kwenu, naomba mnipe A B C za huko, Kama vile nifikie wapi, nikashangae wapi maana si ndo makao makuu ya Tanzania lazima kutakuwa na vitu vya tofauti.

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushaenda?
maana na mimi pia nataka nikashangae dodoma anytime kwanzia saa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Dom tangu wiki iliyopita, jua Kali na mvua za hapa na pale, Ra cruze Bar ndio kiwanja changu cha kutazama Mpira na kupata kakinywaji kidogo, aliyeko Jirani akaribie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom