Nakuja mara ya pili Mchumba anahitajika

Nakuja mara ya pili Mchumba anahitajika

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Nakuja mara ya pili
Mimi ni kijana wa miaka 33
Kazi: Umachinga,Udereva na utalii
Dini : Mkristo
Mkazi : Arusha
Kabila : Mchagga
Elimu : Diploma

Vigezo vya mchumba
Awe zaidi ya 23
Na isiyozidi 29
Dini awe mkristo
Mkazi awe wa Arusha
Asiwe na mtoto tu
Kabila,Elimu na rangi sio issue saana
Ukiwa na vigezo njoo PM
 
Tutawafunza hadi lini kuwa mwezi disemba hadi february sio miezi ya kutafuta wanawake wa kuoa haswa huku mitandaoni?!
Ningekuwa katika nafasi ya kukushauri ningekushauri kuwa usioe
 
Tutawafunza hadi lini kuwa mwezi disemba hadi february sio miezi ya kutafuta wanawake wa kuoa haswa huku mitandaoni?!
Ningekuwa katika nafasi ya kukushauri ningekushauri kuwa usioe
Nisioe ina maana niolewe au ?
 
Mimi ninacho amini mwanamke/mwanaume anaye tafuta mchumba mitandaoni ana kasoro sio bure wanawake wamejazana hadi wana mwagikia wee hadi unatoa Tangazo kweli?
 
Kila la kheri, lakini pia ungesali kwa imani yako Mungu akukutanishe na aliye sahihi kwako. Hutakiw kutumia nguvu kubwa hiv.
 
Nakuja mara ya pili
Mimi ni kijana wa miaka 33
Kazi: Umachinga,Udereva na utalii
Dini : Mkristo
Mkazi : Arusha
Kabila : Mchagga
Elimu : Diploma

Vigezo vya mchumba
Awe zaidi ya 23
Na isiyozidi 29
Dini awe mkristo
Mkazi awe wa Arusha
Asiwe na mtoto tu
Kabila,Elimu na rangi sio issue saana
Ukiwa na vigezo njoo PM
Makinika sana na watakaokuja.. Maana hawatakuja kwa ajili ya mapenzi bali ndoa na uhakika wa kupata wanachotaka
 
Back
Top Bottom