Kama kuna uwezekano wa kuolewa usiolewe piaNisioe ina maana niolewe au ?
Makinika sana na watakaokuja.. Maana hawatakuja kwa ajili ya mapenzi bali ndoa na uhakika wa kupata wanachotakaNakuja mara ya pili
Mimi ni kijana wa miaka 33
Kazi: Umachinga,Udereva na utalii
Dini : Mkristo
Mkazi : Arusha
Kabila : Mchagga
Elimu : Diploma
Vigezo vya mchumba
Awe zaidi ya 23
Na isiyozidi 29
Dini awe mkristo
Mkazi awe wa Arusha
Asiwe na mtoto tu
Kabila,Elimu na rangi sio issue saana
Ukiwa na vigezo njoo PM