Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
1721030060678.jpg
1721030057308.jpg
1721030054341.jpg

Vyumba 3 vya kulala
1 Master bedroom
2 Normal bedroom
Seble, dinning room,jiko,store, public toilet
2 verandahSawa makadilio haya hapa
NYUMBA YA VYUMBA VITATU INA SELF MOJA NA VYUMBA VIWILI VYA KAWAIDA :

✴️Sitting ro
✴️Dinnin
✴️Kitchen & Stor
✴️Public toile
✴️1 Self Bedroo
✴️2 Normal Bedroo
✴️Two Veranda

MPAKA KUKAMILIKA KWA HATUA YA PAA INATUMIA

✴️Sementi (42.5N) - 75mifu
✴️Mchanga (4.5m³) - 6truc
✴️Kokoto (4.5m³) - 3truc
✴️Nondo (12mm) - 60Pc
✴️Nondo (6mm) - 70Pc
✴️Binding wire - 8kg
✴️Tofali za block 6inch - 1200Pc
✴️Tofali za Block 5inch - 1850Pc
✴️Damp Proof Membrane - 15Mit
✴️Mbao (2"x4") - 100Pc
✴️Mbao (2"x3") - 150Pc
✴️Mbao (1"X10") - 15Pc
✴️Misumari - 20Kg
✴️Bati (28Gauge) - 80Pc
✴️Misumari ya bati - 20Pc
✴️Kofia (3m) - 30Pc

MPAKA KUKAMILIKA KWA HATUA YA PA

Kwa Maeneo ya Vijini Milioni 10 Hadi 1

Kwa Maeneo ya Mjini Milioni 14 Hadi 1
Kama unahitaji kujenga nyumba ya kisasa tutafute Tukujengee kuanzia chini mpaka tunakukabidhi nyumba ikiwa imekamilikaKama unataka kuwasiliana na mimi Whatsapp au kuangalia baadhi ya kazi zangu gonga hapa whatsapp namba 0743257669
 
Yani wewe ni kilaza kiasi cha kutojua hata ulipokosea.

Sawa hiyo ni ramani ya vyumba vitatu.
Leta hoja acha kusema mm kilaza hiyo ni nini ?
Mimi nimeiita raman wewe unaiita nini?

Fani za watu hizi unataka upate raman bure bure tu
 
Back
Top Bottom