Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 862
- 1,549
Akili za usiku huwaga zimechangamka sanaHahahaha.
Alikufirimba vizuri eeh?
Wachovu hatuwakumbukagi usiku tusije ota vibaya.
Zinakuwaga na miksa balimi.A
Akili za usiku huwaga zimechangamka sana
Kuna wanaume ngumu sana kuwasahau..i can feel her aiseAlways leave a foot-print/life memory in people’s life...
They will never forget you, that’s Legacy.
NB: Sio lazima iwe mikito mizito mozito
😉.
Wa kwako alikuwa naitwa nani?Kuna wanaume ngumu sana kuwasahau..i can feel her aise
🤣🤣🤣! Umri hauruhusu kuyakumbuka haya🤣🤣..Wa kwako alikuwa naitwa nani?
🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♀️ unataka ubichi?🤣Yani kweli hii ndio dizaini ya kumkumbuka Festo??? Umeshindwa kumuelezea kidogo kwamba ana kipi spesho alichokufanyia kuliko wengine hadi umkumbuke tena mida ya usiku?
Thread urudiwee irudiweee
A
Akili za usiku huwaga zimechangamka sana
Kuna wanaume ngumu sana kuwasahau..i can feel her aise
Sitaki kuota ndoto za mazimwi ndugu yangu please 🤣🤣🤭🤭🤣🤣🤣! Umri hauruhusu kuyakumbuka haya🤣🤣..
How about you!?
Hahahhahaa.....Sitaki kuota ndoto za mazimwi ndugu yangu please 🤣🤣🤭🤭