Yani kweli hii ndio dizaini ya kumkumbuka Festo??? Umeshindwa kumuelezea kidogo kwamba ana kipi spesho alichokufanyia kuliko wengine hadi umkumbuke tena mida ya usiku?
Thread urudiwee irudiweee
Ndugu wana JF, kwa vile yaliyotokea kati ya Mrs Byesige na Festo sisi hatukuwepo, tunaomba thread irudiwe kwa kuandika kila kitu kilichotokea.
Irudiwe!