Nakukumbuka Festo

Yani kweli hii ndio dizaini ya kumkumbuka Festo??? Umeshindwa kumuelezea kidogo kwamba ana kipi spesho alichokufanyia kuliko wengine hadi umkumbuke tena mida ya usiku?

Thread urudiwee irudiweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zikianza tuu fikra...

Yaani file lake likija na kuanza kuleta mtiririko wa matukio/nyakati mlizoishi....

Unajikuta unatabasamu tuu bila breki...[emoji4]....
Na usipojizuia unalowa hivihivi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bibi jaman daaah.
 
I met with this guy on 2017-2018
Nakukumbuka Festo...nisamehe kukufungulia uzi....
Wasalimie Mpwapwa[emoji3059]!
I hope to meet again....

Wasalaam !
Mzee wa Legacy
Festo hongera kaka kwa kumfikisha kibo dada yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…