Nakukumbuka Festo

Nakukumbuka Festo

Yani kweli hii ndio dizaini ya kumkumbuka Festo??? Umeshindwa kumuelezea kidogo kwamba ana kipi spesho alichokufanyia kuliko wengine hadi umkumbuke tena mida ya usiku?

Thread urudiwee irudiweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zikianza tuu fikra...

Yaani file lake likija na kuanza kuleta mtiririko wa matukio/nyakati mlizoishi....

Unajikuta unatabasamu tuu bila breki...[emoji4]....
Na usipojizuia unalowa hivihivi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bibi jaman daaah.
 
Back
Top Bottom