Nakukumbuka Festo

Nakukumbuka Festo

Ilikuwaje mkaseparate? na kwanini usimgande kama mademu wengine wanavyomng'ang'ania ME wanayempenda au ulipigwa kibuti? Maswali yatakuwa mengi wadau wameomba story yako na festo irudiwe irudiwe maana wakati festo "anasimamia kucha" hatukuhadithiwa.


Nilimkosea in another way....! Akanipiga kibuti cha kiutu uzima😭😭
 
Jamani ana nini Festo?
Kubwa? Au fundi? Au anabebisha sana? Au ana honga? Au takko elf ,hamsini na nane? Au......
Kwenu wavulana mnaohitaji kufahamu wanawake wanahitaji nini.. Jibu mmeshapewa hapa..
1. Kama huna kubwa
2. Basi uwe fundi.. Sijui fundi yukoje
3. Au basi uwe unabebisha
4. Au uwe mzee wa pesa
5. Ukishindwa kabisa, piga tako 58,000.
 
Kwenu wavulana mnaohitaji kufahamu wanawake wanahitaji nini.. Jibu mmeshapewa hapa..
1. Kama huna kubwa
2. Basi uwe fundi.. Sijui fundi yukoje
3. Au basi uwe unabebisha
4. Au uwe mzee wa pesa
5. Ukishindwa kabisa, piga tako 58,000.
😂😂😂 Jameni ndio nimesema hivo?
 
Back
Top Bottom