falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Mkuu hii tafakari inamaana kali, hasa katika sherehe za leo.wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu
hatua ya kwanza ni kukikataa kifo,yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna
hatua ya pili ni makubaliano au mapatano, (wazungu husema kubargain) yaani hapa ndio anahangaika kweli mara mumkute katulia kama kafa mara yuko macho
hatua ya tatu ni kukikubali kifo (hapa sasa ndio mtu yuko tayari kufa nyie mnamuona kama amegive up) mtu huwa tayari kabisa kakubali matokeo kuwa ndio anaondoka.
asanteni
π±π±π±pole mkuuDuh umenikumbusha kitu leo nimetoka hosptal kumuona Mgonjwa wangu dah Namuona kabisa it's no more.........
ππmagreat thinker mmeshang'amua jambo eeeMkuu hii tafakari inamaana kali, hasa katika sherehe za leo.
alikuwa anakamilisha hizo stage tatuumenikumbusha bibi yangu masaa kadhaa kabla ya kufa alihangaika sana, nilikua nae usiku wote akiwa ktk hali hio nikimlaza hivi nakuta ameshageulia chini mara kalala kinyume mara kaanguka ktandani, siku hio ilikua ngumu sana kwangi aisee.
eti wanasemaga mtu wa hivyo alikuwa muovuπHii ndio tunaskiaga mtu katoka nduki na dripu mkononi baada ya kumuona izraili?
hao viumbe nao bwana sometime noLeo nimemjibu kwa hasira sana mke wangu ngoja nikamuombe msamaha yaishe.....siogopi kufa ila naogopa kufa hali yakuwa nimemdhulumu kiumbe wa ALLAH kwa maneno,pesa,kauli au vitendo
laziam hizo stage azipitie mkuu, hukumbuki hata vitabu vilisema kila mtu atapitia uchungu wa kifovipi wanaokufa wamelala..?
Hatua ya tatu compromising stage.... Hatua hii haina maumivu kabisavipi wanaokufa wamelala..?
HahaaaaaHii ndio tunaskiaga mtu katoka nduki na dripu mkononi baada ya kumuona izraili?
Wengine ni maaganoumenikumbusha bibi yangu masaa kadhaa kabla ya kufa alihangaika sana, nilikua nae usiku wote akiwa ktk hali hio nikimlaza hivi nakuta ameshageulia chini mara kalala kinyume mara kaanguka ktandani, siku hio ilikua ngumu sana kwangi aisee.
Kafa bhna leo dah asubuh[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]π±π±π±pole mkuu
aisee pole sana basi alipitia hizo stage hapoKafa bhna leo dah asubuh[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hahhah, Sina uhakika sanaeti wanasemaga mtu wa hivyo alikuwa muovuπ