Nakukumbusha hatua tatu muhimu ili kukifikia kifo

Nakukumbusha hatua tatu muhimu ili kukifikia kifo

Kuna uzi uliwahi anzishwa hapa, kwa nini wengine hufa kwa kuhangaika sana na wengine hufa wanatabasamu...

Kwa kifupi yale ulofanya ukiwa hai ndo unaondoka nayo na ndo hayo yanakufanya utabasamu au uhangaike na kutaka kukikimbia kifo...

Mbingu ni hakika, jehanum ni dhahiri na Mungu yupo..
 
Wakati nasoma maswala ya psychology nilifundishwa stages 5 na siyo 3 ( 5 stages of grief) or kubler-Ross model

1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Deppresion
5. Acceptance
Nilikuwa nataka nimkatalie mwenye uzi ila nikasema ngoja nisome kwanza comments anaweza akawa amesharekebishwa....Ni kweli stage of dying zipo tano....na ndio hizo hizo anazipita mtu ambae anafiwa ( grieving )

Nimesoma katika Psychology of Aging.
 
Kuna uzi uliwahi anzishwa hapa, kwa nini wengine hufa kwa kuhangaika sana na wengine hufa wanatabasamu...

Kwa kifupi yale ulofanya ukiwa hai ndo unaondoka nayo na ndo hayo yanakufanya utabasamu au uhangaike na kutaka kukikimbia kifo...

Mbingu ni hakika, jehanum ni dhahiri na Mungu yupo..
Unaweza kunisaidia link ya huo Uzi mkuu?
 
Back
Top Bottom