hakuna mzee, kifo kipo palepaleHivi mkuu hamnaga sayansi iliyo fumbua fumbo la kifo?
halafu mi nilikuwa nakuonaga mjanja, kumbe na wewe ni muoga tuHuu uzi ngoja kwanza nitoke mbio naogopa sijui kwanini aisee!!!
Kusema kuwa "siogopi kifo" ni jambo moja,na kukaribia kifo "kiuhalisia" ni jambo jingine.halafu mi nilikuwa nakuonaga mjanja, kumbe na wewe ni muoga tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndio tunaskiaga mtu katoka nduki na dripu mkononi baada ya kumuona izraili?
Aisee hapo lazima ucheke hata kama ndio umepewa majibu ya VVUHii ndio tunaskiaga mtu katoka nduki na dripu mkononi baada ya kumuona izraili?
Nilikuwa nataka nimkatalie mwenye uzi ila nikasema ngoja nisome kwanza comments anaweza akawa amesharekebishwa....Ni kweli stage of dying zipo tano....na ndio hizo hizo anazipita mtu ambae anafiwa ( grieving )Wakati nasoma maswala ya psychology nilifundishwa stages 5 na siyo 3 ( 5 stages of grief) or kubler-Ross model
1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Deppresion
5. Acceptance
Umenena deep sanaMkuu hii tafakari inamaana kali, hasa katika sherehe za leo.
Kifo hakinaga uovu wala uwema wote wanapata maumivu yale yaleeti wanasemaga mtu wa hivyo alikuwa muovu😀
hahahaAisee hapo lazima ucheke hata kama ndio umepewa majibu ya VVU
hahahaAisee hapo lazima ucheke hata kama ndio umepewa majibu ya VVU
Unaweza kunisaidia link ya huo Uzi mkuu?Kuna uzi uliwahi anzishwa hapa, kwa nini wengine hufa kwa kuhangaika sana na wengine hufa wanatabasamu...
Kwa kifupi yale ulofanya ukiwa hai ndo unaondoka nayo na ndo hayo yanakufanya utabasamu au uhangaike na kutaka kukikimbia kifo...
Mbingu ni hakika, jehanum ni dhahiri na Mungu yupo..
Ila mkuu kwa jinsi kinavyotokea inaonekana kama ni adhabu kwetu viumbe. Ni kama tumefanya kosa kubwa sana. But we were born innocent.!!!!Jamani kifo sio adhabu ila kifo ni hali ya kila kiumbe cha Allah
sawasawaIla mkuu kwa jinsi kinavyotokea inaonekana kama ni adhabu kwetu viumbe. Ni kama tumefanya kosa kubwa sana. But we were born innocent.!!!!