Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

EWE mwanamke hebu fikiria MZEE WAKO MWENYEWE alishindwa kukuhudumia akaamua kubadilishana na NG'OMBE ndio sembuse mimi tuliekutana kimgongomgongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Ukianza kuwaza hivyo mwisho wa siku hata kufanya matumizi yako binafsi utashindwa.

Punguzeni kulalamika ndio mana duniani zipo jinsia mbili na sio moja.
 
Nimenuna bado kidogo nipasuke ujue.

Marahaba. Enhe ukakalia kimya jumbe zangu ndio nini.

Mzima lakini?
Ukipasuka dada yngu nitapata wapi mwingine km wewe???

Jumbe zko sijaziona na mda kweli sijaingia humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…