Nono hongo iliyoongelewa hapa ni ile ya ku careUnajua maana ya kuhonga? Nakupa hongo ili unipe kitu fulani. Hamna mapenI hapo,maslahi tu.
Nono hongo iliyoongelewa hapa ni ile ya ku careUnajua maana ya kuhonga? Nakupa hongo ili unipe kitu fulani. Hamna mapenI hapo,maslahi tu.
Ila we si umesema nitoe pesa ili uniachie manyoya?? Sasa hii si uungwana...barter trade inaruhusiwa...ila nawakumbusha tu wanaume thamani ya 10,000Hivyo hupaswi kulalamika kwa unachokitoa ikiwa kipo unachokitaka.
Hawaridhiki hawa aisee dahMkae mkijua kabisa, mwanamke hata angekuwa na kila kitu, iwe Pesa nyingi Majumba na Magari, atahakikisha hako ka elfu kumi kako anaondoka nako. .haachi hata kama ni kabuku tano, hawa ni watu wa ajabu sana, ni majambazi wasiotumia silaha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kucare sio hongo aiseeNono hongo iliyoongelewa hapa ni ile ya ku care
Hongo ni tofauti na zawadi. Hongo unatoa ili upate favor ya kimapenzi etc.Nono hongo iliyoongelewa hapa ni ile ya ku care
No hiyo sifanyi ni kama biasharaHongo ni tofauti na zawadi. Hongo unatoa ili upate favor ya kimapenzi etc.
Kwahyo tunalipia kutongoza au ni kiingilio tu.!!?Basi msitongoze
Kwaiyo ukitongozwa ndio uongwe?Basi msitongoze
umeitoa wasap hiiNakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-
*1.* Ni bei ya sato kilo moja
*2.* Kuku wa nyama mmoja
*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe
*4.*Sukari kilo 3
*5*. Donna kilo 4
*6.* Mchele kilo 4 super kabisa
*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4
*8.* Soda take away 10
*9.* Castle lite 4
*10.* Petrol lita 5
*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi
*12.* Chocolote ivory
dogo 20
*13*. Mayai tray moja kizungu
*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga
*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*
Sent using Jamii Forums mobile app
Manyota ndio yanafanya ionekane imetoka whatsapp?? Au ndio kukaririumeitoa wasap hii
ona hayo ma *
Hahahaha 😛 😛duuh nilikua na laki hapa mfukoni kesho nawaza niimalizie yote kwa mtu tu, naangalia hiyo list hapo juu naona kabisa ningekua nimeongeza ziro moja kwenye kila kitu hapo na nimeingiwa na uoga kusema kweli imebidi niitume tu hiyo pesa benki ikapigwe a/c za vault kwanza wakati natafakari nina akili fupi kias gani kumpa mtu baki kilo 40 za mchele kwa siku moja tuu,,, tena mchele supa kabisa!! hiyo hasara nitaifidia vipi kwamfano?!
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-
*1.* Ni bei ya sato kilo moja
*2.* Kuku wa nyama mmoja
*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe
*4.*Sukari kilo 3
*5*. Donna kilo 4
*6.* Mchele kilo 4 super kabisa
*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4
*8.* Soda take away 10
*9.* Castle lite 4
*10.* Petrol lita 5
*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi
*12.* Chocolote ivory
dogo 20
*13*. Mayai tray moja kizungu
*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga
*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu 5 ni nusu ya hayo matumizi hapo juuha ha ha ,duh, naacha kuhonga, ila mara nyingi nahonga elf 5, embu chakachua iyo