Bravo320
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 401
- 309
Mkae mkijua kabisa, mwanamke hata angekuwa na kila kitu, iwe Pesa nyingi Majumba na Magari, atahakikisha hako ka elfu kumi kako anaondoka nako. .haachi hata kama ni kabuku tano, hawa ni watu wa ajabu sana, ni majambazi wasiotumia silaha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app