Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] af mje muanze kulalamika kwmb mmetengwa!Basi msitongoze
We mwivi bila shakaMwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungali mfano wa kuigwa mukuuSitokaa nitegemee hela ya mwanaume, na Mungu unisaidie....
Mdogo wangu nina kesi na wewe ujue. [emoji17] [emoji17]Hahaaaa
Mbona papuchi hamtaki zituzoeeMmh. Ukianza kuwaza hivyo mwisho wa siku hata kufanya matumizi yako binafsi utashindwa.
Toa hela ikuzowee.
Wakishua anahongwaje sasa..au ndio unawaendekeza na weweBora umenikumbusha maana hapa nilianda 50000 ya kumuonga mtoto wa kishua leo anakuja ghetto [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo Dada kwanza kabla ya yote.....Mdogo wangu nina kesi na wewe ujue. [emoji17] [emoji17]
Hiyo ya mafuta tuu mkuu kaniambia dingi yake leo kamzingua kumpa hela ya mafuta
Kwani papuchi mwenzie hela tafakari mkuu.
Nimenuna bado kidogo nipasuke ujue.Shikamoo Dada kwanza kabla ya yote.....
Kesi ya nn tena Dada
Ukipasuka dada yngu nitapata wapi mwingine km wewe???Nimenuna bado kidogo nipasuke ujue.
Marahaba. Enhe ukakalia kimya jumbe zangu ndio nini.
Mzima lakini?