chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,063
- 931
Kwani lengo la kutongoza ni ili tuwahonge [emoji15] [emoji15]Basi msitongoze
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lengo la kutongoza ni ili tuwahonge [emoji15] [emoji15]Basi msitongoze
*Huku kwetu unapata mfuko 1 wa sement hapo kwa SungusiaNakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-
*1.* Ni bei ya sato kilo moja
*2.* Kuku wa nyama mmoja
*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe
*4.*Sukari kilo 3
*5*. Donna kilo 4
*6.* Mchele kilo 4 super kabisa
*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4
*8.* Soda take away 10
*9.* Castle lite 4
*10.* Petrol lita 5
*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi
*12.* Chocolote ivory
dogo 20
*13*. Mayai tray moja kizungu
*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga
*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanunua tuu ya buku mbili mbonaPapuchi za bure utazipa wapi jombaa
Kama mke sawa ila sio mwanamkeMwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Papuchi ya 2000 sio tamuUnanunua tuu ya buku mbili mbona
Sasa hiyi 10000 mwingine amekuomba vocha tuu!! Usawa huu
Saa hizi papuchi zimeshuka bei mpaka wale wa maofisini mnaongea anaomba hata kuanfikiwa night moja tuu papuchi unakula
We ndo mwanamke mwenye akili, ila sio wale wanaoendekeza njaa kali wakati shule walikimbia na kazi hawataki kufanya kwa kutegemea kitega uchumi cha chini ya kitovuSitokaa nitegemee hela ya mwanaume, na Mungu unisaidie....
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-
*1.* Ni bei ya sato kilo moja
*2.* Kuku wa nyama mmoja
*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe
*4.*Sukari kilo 3
*5*. Donna kilo 4
*6.* Mchele kilo 4 super kabisa
*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4
*8.* Soda take away 10
*9.* Castle lite 4
*10.* Petrol lita 5
*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi
*12.* Chocolote ivory
dogo 20
*13*. Mayai tray moja kizungu
*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga
*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha si ndo zile papuchi unakula umeziba pua na leso
Amen
Ukitaka mwanaume akudharau tegemea hela yake, au mlilie shida...We ndo mwanamke mwenye akili, ila sio wale wanaoendekeza njaa kali wakati shule walikimbia na kazi hawataki kufanya kwa kutegemea kitega uchumi cha chini ya kitovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utam wake ni akili yako mkuuPapuchi ya 2000 sio tamu
Mwanaume kuchunwa bhana ndo akili inawasogea kutafuta zaidi. Wanaohonga PESA nyingi wanazalisha pesa nyingi pia mabahili wako palepale miaka nenda rudi.