Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
663
Reaction score
1,047
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*

Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]
 
sukari kilo 3 kwa 10000 wapi huko nije kununua??
 
tofali 12 za block
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…