Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Lakini papuchi ni tamu zaidi...hasa kabla hujaoa
 
Haya ni mawazo ya kimasikini sana
Nini kuhonga wakati mwingine uwe unatoa tu bure kwa wenye uhitaji bila ya kutegemea return yoyote ile
 
Asante Magufuli, cc warembo jf, mje mjionee wanaume wanaanza kujiongeza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]. Kazi kwenu
 
Castle lite ni 6 mkuu na buku linabaki jaribu kuedit
 
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*

Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]
Dona kilo NNE tuu?
Au dona gani mkuu? Kama ni Mimi ninayoijua unapata debe kabisa na chenchi
 
Ha ha nikikumbuka nnavyohonga kwa sasa kila wiki natakiwa kufungua duka kama ndio hivi
 
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*

Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]

hizo safari 13 za mwendokasi uongo.hata bei ya jumla bado
 
We umekopi ya siku nyingi au... Unga kilo buku saa hii so ni kilo 10 sio 4 Mzee unaishi mars au
 
Back
Top Bottom