Akili zao za kufulia hizo ngoja wazipate sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]
Dona kilo NNE tuu?1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*
Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]
Sukari kilo 2500 hapo unapata kilo NNEsukari kilo 3 kwa 10000 wapi huko nije kununua??
Nusu 10? Wewe unanunua 5 star hotel au?Kitimoto nusu 10,000/=
Mfyuuuuuuuuuuuuu,kisa tunagoma kuhonga?!...ebooooo!Wanaume wamekwisha
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory dogo 20
13. Mayai tray moja kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
15.nusu kilo ya mbuzi na balimi 2
16.balimi 6 na sigara 2
17.kitimoto nusu
18.michemsho ya kuku *2*
Unaweza ongezea [emoji3][emoji3][emoji3]
Ilo nalo nenoWatu mkifulia mnakuwa na akili hizo
Umetisha mtu angu wa nguvuKumbuka unachohonga ukipate sio ugali wala daftari mscheeeewwww.
Kuna muhenga amemuonga dem angu adu hajamptaInawahusu zaidi vijana, wahenga hatuna matata
Na asa ikiwa haina gono,kaswende wala ngomaLakini papuchi ni tamu zaidi...hasa kabla hujaoa