Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

Impact yao haikuwa kwa Rais hawakuwa na mizania na uzalendo kwa taifa letu, awaye yeyote ambaye alikuwa ana wafuatilia nyakati zao you tube has a lot to tell about these crooks
Hujajibu nilichouliza, umekuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.

Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.

Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.

Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.

Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.

Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.

Shukrani 🙏

Tukutane kwenye comments

Wadiz
Sasa ule ulikuwa Utawala au udikteta? Wakifanya vyema sana.
 
Shukrani [emoji120]

Tukutane kwenye comments

Wadiz
Hivi ni.huwa mnakosa kazi au!? Yani Magufuli asikosolewe yeye nani!? Hivi wewe ni jinsia Gani!?
 
Acha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM
Jpm atabaki kuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tz Hilo liko wazi
 
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.

Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.

Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.

Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.

Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.

Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.

Shukrani 🙏

Tukutane kwenye comments

Wadiz
Ndani ya chama cha majani na mbogamboga uwa wanachafuana kutumia machawa wao wenyewe. Pengine huyu zuhura na kikeke walikuwa chawa wa mtu.
 
Acha mawazo uchawara...

BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.

Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.

Laumu Shirika na si mtu husika
na ww hujui kuwa taifa lako lzm uliweke mbele kabla ya njaa ndogondogo , ona leo wapo wap?
 
Narudia tena Salim Kikeke na Zuhura Yunusi ni wafanyakazi tu wa BBC, kazi zote wanatumwa na Boss zao... hata ungekuwa wewe hapo upo BBC ungefanya hayo hayo.

Wewe unaleta chuki binafsi badala ya kuchukia shirika. Hata leo Wasipokuwepo hao, bado BBC wataendelea kufanya wanayoyafanya
Hajui kuwa vyombo vya habari huwa na mrengo wake.
 
na ww hujui kuwa taifa lako lzm uliweke mbele kabla ya njaa ndogondogo , ona leo wapo wap?
Yani niache mshahara wa maana kisa utaifa, nitakuwa naumwa.... Ila hata hivyo serikali yako imeamua kuwaajiri kuwa wasemaji hili kuepusha kero.

Utaifa unakuja kama taifa nalo linakuthamini. Ila mimi siwezi kuacha pesa ya maana
 
Acha mawazo uchawara...

BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.

Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.

Laumu Shirika na si mtu husika
Kwahyo ukipewa BANGI UUZE mitaani siku ukikamatwa utakuwa huna makosa?

Mwenye makosa ni yule aliyekutuma UUZE sio?.

Usitete upuuzi..
 
Kuna mbwa mwitu humu J/F wamevaa ngozi ya kondoo, wanacho dhihirisha ni kidogo kuliko kilichoko katika moyoni mwao ni watu wabaya sana sana ni watu fitna an roho mbaya niwadinii sana hawapendi wenziwao kupata mafanikio icluding wewe muandishi wa topic hii una chuki na hikdi za ndani kwa ndani na una chuki dhidi ya dini ya upande mwengine lakini Allah atawashinda .
 
Acha mawazo uchawara...

BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.

Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.

Laumu Shirika na si mtu husika
Uzi ufungwe kwa jibu hili
 
Mtu aliyemwaga damu za watu anaweza kuitwa mzalendo kweli? Labda huko kwenu.
 
Millard Ayo
Aa
Top Stories
Entertainment
Sports
Magazeti
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Salim Kikeke mshauri Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)
TOP STORIES
Salim Kikeke mshauri Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)
October 12, 2023
Share
1 Min Read

Mtangazaji Mkongwe wa zamani wa BBC, Salim Kikeke amefikia makubaliano ya kufanya kazi na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA).

Kikeke sasa atafanya kazi kama Mshauri wa Masuala ya Habari na Uhusiano wa ZIPA.

Kikeke amesema “Nimerejea Tanzania ili kusaidia Taifa langu kwa hali na mali, hii ni fursa ya kipekee kupata nafasi ya kuhusishwa kwenye sera ya Uchumi wa bluu ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Mwinyi”

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Salim Kikeke aliondoka BBC kwa hiari yake April 2023 na kuamua kurejea Tanzania baada ya kuitumikia BBC kwa miaka 20, alianza Mei 2003 na kuondoka April 2023.

Salim Kikeke sasa atafanya kazi kwa ukaribu na CEO wa ZIPA Shariff Shariff katika kuitangaza Zanzibar Kitaifa na Kimataifa.

Back
Top Bottom