Hujajibu nilichouliza, umekuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.Impact yao haikuwa kwa Rais hawakuwa na mizania na uzalendo kwa taifa letu, awaye yeyote ambaye alikuwa ana wafuatilia nyakati zao you tube has a lot to tell about these crooks
Hao walikuwa kwenye payroll za mstaafu kuchafua utawala wa magufuli
Wanalipwa fadhila
Kikeke anasubiria ukurugenzi wa tbc

Mtaje adui yakoWatanzania tunapambàna na adui àmbaye siye wakati adui halisi yupo.
Inaelekea hatumjui adui yetu halisi
Sasa ule ulikuwa Utawala au udikteta? Wakifanya vyema sana.Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani 🙏
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Hivi ni.huwa mnakosa kazi au!? Yani Magufuli asikosolewe yeye nani!? Hivi wewe ni jinsia Gani!?Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani [emoji120]
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Jpm atabaki kuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tz Hilo liko waziAcha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM
Ndani ya chama cha majani na mbogamboga uwa wanachafuana kutumia machawa wao wenyewe. Pengine huyu zuhura na kikeke walikuwa chawa wa mtu.Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani 🙏
Tukutane kwenye comments
Wadiz
na ww hujui kuwa taifa lako lzm uliweke mbele kabla ya njaa ndogondogo , ona leo wapo wap?Acha mawazo uchawara...
BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.
Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.
Laumu Shirika na si mtu husika
Hajui kuwa vyombo vya habari huwa na mrengo wake.Narudia tena Salim Kikeke na Zuhura Yunusi ni wafanyakazi tu wa BBC, kazi zote wanatumwa na Boss zao... hata ungekuwa wewe hapo upo BBC ungefanya hayo hayo.
Wewe unaleta chuki binafsi badala ya kuchukia shirika. Hata leo Wasipokuwepo hao, bado BBC wataendelea kufanya wanayoyafanya
Yani niache mshahara wa maana kisa utaifa, nitakuwa naumwa.... Ila hata hivyo serikali yako imeamua kuwaajiri kuwa wasemaji hili kuepusha kero.na ww hujui kuwa taifa lako lzm uliweke mbele kabla ya njaa ndogondogo , ona leo wapo wap?
Kwahyo ukipewa BANGI UUZE mitaani siku ukikamatwa utakuwa huna makosa?Acha mawazo uchawara...
BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.
Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.
Laumu Shirika na si mtu husika
Uzi ufungwe kwa jibu hiliAcha mawazo uchawara...
BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.
Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.
Laumu Shirika na si mtu husika
Millard AyoAcha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM