hiyo ni tiba mkuu asiogope...
Nimewahi fanya kazi hospital moja wakati nimemaliza tu chuo, nikijishkiza hapo japo si taaluma yangu...
Aliletwa mgonjwa hajanya 2months kwa mujibu wake na hawezi kutembea miguu imegoma kabisa hana nguvu na anasukumwa na while chair...
Daktari wa zamu kumcheki akahitimisha kwa kumfokonyoa kinyesi kwa vidole. Harufu ilikua ni kali mno haijapata kutokea...
Mwishowe mgonjwa yule alitoka jasho sana na aliondoka hospitali kwa furaha sana akitembea kwa miguu yake mwenyewe na baada kama ya wiki hivi alirudu sio kwaajili ya matibabu tena bali alimletea yule Dr . asanti ya sh laki2, coz mgonjwa anadai alizunguka mno kutafuta tiba na kupoteza pesa mingi bila mafanikio...
Usione haya unapotafuta suluhu ya afya yako...