Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Haupo serious , unaleta maigizo
Inaitwa rectal examination kama Bado unaona naleta masihara Kaa hivyo hivyo Mimi Huwa nikieleza mambo serious watu wanaona kama natania ila maumivu nayapata mwenyewe wakiona naumia ndyo wanaamini.
 
Nenda hospitali wakupe ducolax kwanza,ukishapata choo uanze kufuatilia chanzo cha tatizo.Hivyo vyakula vingine vyote wanavyokwambia utumie kama hujapata choo haviwezi kusaidia kwakuwa choo kigumu kinakuwa kimekauka sana na kuziba kwenye rectum,vitakusaidia tu kama ukishapata choo ndio uwe unatumia mara kwa mara kama sehemu ya diet yako ya kila siku.Msaada hapo ni hizo dawa zina uwezo wa kupenya mpaka chini kabisa kulainisha hicho choo,ikishindikana hiyo,itabidi upigwe bomba kupitia haja kubwa,hiyo ni sindano inakuwa imewekwa dawa ya kulainisha choo,hiyo huchukua kama dakika tano tu kabla mzigo haujaanza kutoka,pole sana...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka kama mazur vileee,huyo mgonjwa alikuwa jinsia gan na dokta jinsia gan?
 
jiinike na bomba utakuwa powa,maana enzi zile madogo au watu wazima wakikosa choo walikuwa wanainikwa.kunywa supu ya mlenda au chukua bamia changanya na majani ya maboga iwechukuchuku,kula papai laini kwa wingi,kunywa maji kwa wingi .tatizo lako litaisha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka kama mazur vileee,huyo mgonjwa alikuwa jinsia gan na dokta jinsia gan?
katika kuelezea mambo ni kuzingatia maadili na staha. itoshe tu kusema, mgonjwa alikua mtu mzima akihangaika kutafuta suluhu ya tiba ya kilichomsumbua kwa muda
 

Fika hospitali. Ni MUHIMU

Suala la kwanza ni kujua kiasi cha tatizo.

1: Lina muda gani/mara ya mwisho kupata choo pia, umri.

2: Ni suala la kujirudia vs mtindo wa maisha.

3: Dalili nyingine kama tumbo kujaa na kutapika.

4: Ukaguzi wa mwili na njia ya haja ili kujua kama choo kinafika chini au kuna kinachozuia choo kuja nje/chini. Suala la msingi sana.

4: Kwenda kwenye vipimo kulinganana alichokipata daktari.

5: Kupata tiba mahsusi.

6: Kupata tiba mwambata ili kuepusha tatizo kujirudia.
 
Nasoma replies naona baadhi wanaandika utani ila kwa dalili ulizo zisema apo , sikutishi ila ingia google search madhara ya kutopata choo uone. Chakufanya ni nini kama walivyo kushauri baadhi kula matunda yalio iva kama papai nk , lakin muhimu nenda hospitali , we kama hospitali ulo enda wanakuzingua nenda nyingine mkuu.

NENDA HOSPITALINI
 
Hii ni hatari Sana asijaribu
 
nenda famas nunua π‚πšπ¬π­π¨π« 𝐎𝐒π₯ ni mafuta ya kuondoa uchafu tumboni.

ila utakunywa vijiko 2 tu na usikae mbali na choo
 
Mkuu kula mboga za majani
KulA matunda
Acha kula wali
KulA ugali Dona
KulA nduzi na matunda
KulA kidogo wanga,+ (ugali,wali,chapati).
Tafuta mgagani.
Acha kula wali
Acha kula wali
KulA nduzi za kupika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…