Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Una chronic ulcers, wahi matibabu
 
Ukiweka ndimu minyoo hakuna mkuu Wala taifodi
sawa mkuu,
ila mie siaminigi ndimu au limao, huwa nahofia sana hizo wadudu ...

But for sure mwenyewe shida ya choo akifakamia hiyo kitu kesho atatoa mzigo wa maana yaani
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
🌈
 
Pole kwa tatizo linalo kusumbua, je Hospital umeenda?
Nashauri ujitahidi kila mlo uwe na mboga za majani kwa wingi hasa mchicha unasaidia sana, pia waweza tumia juice ya ukwaju, uandae nyumbani iwe nzito ni nzuri kwa mmeng'enyo wa chakula
 
Ilishawahi kunikuta hali kama yako miaka mingi nyuma. Kula papai, ndizi, kunywa maji sana, wapi ikakataa.

Mtu mmoja akaniambia utakuwa na ngiri, ngiri huwa inazuia choo pia. Nikaenda pale Kariakoo Sokoni
 
Punguza kuwazia jambo 1 kwa muda mrefu na hasa km halina ufumbuzi ndani ya kipindi cha muda mfupi.
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
 
Fanya Mazoezi kwa bidii kama jinsi unavyokula kwa bidii.

Yafanye Mazoezi kuwa sehemu ya maisha yako kama jinsi chakula kilivyo sehemu ya maisha yako.

MKUU FANYA MAZOEZI.
 
Nakupa hii daity uje utoe feedback
Asubuhi kula matunda haya usikose
Ukiamka anza na maji ya uvugu vugu (kama unasali unawez weka ) after 1hrs
Pga before saa 3 asubuhi
Papai nusu
Ndiz mbivu 2
Embe moja

Saa 4 endelea na ratiba ya chai
After 45min - had lisaa na nusu
Hakikisha umemeza more than one little of water

Saa 7 ukiwez pata tunda lolote apo ni vzr (ila papai kama lipo n vzr zaid)

Saa 8 pga lunch kama unakulaga (sio muhm kama huli chakula mchana)

Saa9 had 12 hakikisha maji lita ulipata

Saa 1 pata dinner

Ndan ya siku 3

Good luck bro
 
Kwann sasa?
Hutaki kupona?
hiyo ni tiba mkuu asiogope...
Nimewahi fanya kazi hospital moja wakati nimemaliza tu chuo, nikijishkiza hapo japo si taaluma yangu...

Aliletwa mgonjwa hajanya 2months kwa mujibu wake na hawezi kutembea miguu imegoma kabisa hana nguvu na anasukumwa na while chair...

Daktari wa zamu kumcheki akahitimisha kwa kumfokonyoa kinyesi kwa vidole. Harufu ilikua ni kali mno haijapata kutokea...

Mwishowe mgonjwa yule alitoka jasho sana na aliondoka hospitali kwa furaha sana akitembea kwa miguu yake mwenyewe na baada kama ya wiki hivi alirudu sio kwaajili ya matibabu tena bali alimletea yule Dr . asanti ya sh laki2, coz mgonjwa anadai alizunguka mno kutafuta tiba na kupoteza pesa mingi bila mafanikio...

Usione haya unapotafuta suluhu ya afya yako...
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Bugia vile vidoge vya yutiai ..

Piga azuma

Piga AZUMA....maji mengi ya kutosha....piga kambi jirani na choo....
 
Pole Sana Nunua Ukwaju Kilo 1 Chemsha Acha Upoe Halafu Uchuje
Kunywa Wa Kutosha Baada Saa Moja Usitoke Home
Kaa Jirani Na Mlango Wa Maliwato! Utajisaidia Kivumbi Na Jasho
 
Back
Top Bottom