Hailipi hata 70 kwa wiki maana boxer mpya saa hivi inafika 2,800,000 bado hujalipia bima,sumatra na maegesho.pikipiki mpk iingie barabarani inaweza kufika milion 3 halaf mwaka mzima mtu anakupa 3.8 si biashara kichaa
Umeacha kuwarekodia wasanii midundo na ww kuimba
Mwaka una wiki ngap bosi?
Hahahaha.....
Kwa haraka haraka Ukiifikiria Laki 2 kwa mwezi unaweza dhani ni hela kuuubwa sana.
Kumbe kiuhalisia,
Mtoa mada anamaanisha Marejesho ya Buku sita kwa siku
Kwahiyo umeshusha marejesho tena!
Kwahiyo umeshusha marejesho tena!
Unaamaanisha elfu 10 per 5 days.
Maana ake ni buku mbili kwa siku.
Hahahaha.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
The man is more seriously.
Tumpe ushirikiano
Kama upo tayari wasiliana naye ni Kijana mwenzetu.