Nakuletea laki2 per Month Kama una pikipiki boxer or Tvs

Nakuletea laki2 per Month Kama una pikipiki boxer or Tvs

Fuatilia vizuri hesabu zako boss
Hailipi hata 70 kwa wiki maana boxer mpya saa hivi inafika 2,800,000 bado hujalipia bima,sumatra na maegesho.pikipiki mpk iingie barabarani inaweza kufika milion 3 halaf mwaka mzima mtu anakupa 3.8 si biashara kichaa

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha.....

Kwa haraka haraka Ukiifikiria Laki 2 kwa mwezi unaweza dhani ni hela kuuubwa sana.

Kumbe kiuhalisia,
Mtoa mada anamaanisha Marejesho ya Buku sita kwa siku
 
Siongelei mwaka..bali naongelea bei yako hiyo..huku mkoa kila kitu mil 2.6 umeingia road.
Pia ndio maana kuna option hapo ukitaka ikulipe chombo iendelee kusukuma kazi miaka kadhaa mbele.
Hata ungenunua Min bus,haikulipi at once
Mwaka una wiki ngap bosi?

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
The man is more seriously.
Tumpe ushirikiano
Kama upo tayari wasiliana naye ni Kijana mwenzetu.
 
Mimi natafuta dereva wa Bodaboda yangu,ila siyo Boxer ni pkpk ya Kuchuma, tuu bado nzima sn, Nipo Dar es salaam
Aliye tayari nicheki 0769017151
 
Dah we jamaa mgumu kuelewa.yaani tunahesabu siku 5 (monday to Friday) japo wengine hufanya mpaka 6 days inafuatana na makubaliano yenu
Kwahiyo umeshusha marejesho tena!

Unaamaanisha elfu 10 per 5 days.

Maana ake ni buku mbili kwa siku.

Hahahaha.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Watakuja boss wengine tupo mbali
Mimi natafuta dereva wa Bodaboda yangu,ila siyo Boxer ni pkpk ya Kuchuma, tuu bado nzima sn, Nipo Dar es salaam
Aliye tayari nicheki 0769017151
 
Back
Top Bottom