Nakumatt Pugu Road rekebisheni hizi kasoro

Barabara ya mbezi beach huku kawe ina sehemu kibao za kuuza mboga mboga tena sio zile za mto msimbazi. Kwanini uende huko supernarket mboga zilizolalla?
Nakumatt sijaona kama iko poa sana bora uchumi mara 100
hapo nna wasiwasi na uonaji wako. uchumi ndo kabisaaaa, hatari. nimefanya shopping pale quality centre, bidhaa zao nyingi ni nearly outdated na hawafanyi 'sale out' yoyote which means zitakaa hapo hadi zipate wateja. na nakumatt problem ni ileile..
 
Ni kuwa makini tunaponunua bidhaa katika hizi supermarkets....
 
hapo umenena. kwanza bidhaa nyingi kwenye supermarkets zina bei nafuu kuliko maduka ya mtaani. mfano maji ya k'njaro 1.5 lt mtaani yanauzwa 1500, ila nakumatt na wengine wanauza 900 mpaka 1200. watu wakoina kuna taa, ac, basi wanaogopa.

Umenikumbusha chuo, kila weekend tulikuwa tunaenda mliman city kununua chua kubwa za kilimanjaro kama 7 kila mmoja.
 
Umenikumbusha chuo, kila weekend tulikuwa tunaenda mliman city kununua chua kubwa za kilimanjaro kama 7 kila mmoja.

hahaha... mchezo mtamu sana huo. ikafika wakati ukionekana tu na mfuko wa shoprite watu wanajua ni maji. na vile ilivyokuwa inang'aa!!
 
hahaha... mchezo mtamu sana huo. ikafika wakati ukionekana tu na mfuko wa shoprite watu wanajua ni maji. na vile ilivyokuwa inang'aa!!

Shoprite imenisaidia sana kusave mkuu, imagine unaenda kununua mfuko wa maandazi kwa 1500 ambao kila siku unakula mawili hadi week inaisha unaenda kununua mengine. Maji unanunua in bulky unasave alot.

Trust me wengi hawajui hii kitu, kuna siku nilimpeleka mama kwenye graduation, alishangaa kinoma alijikuta amenunua bia za kufa mtu, kule zilikuwa cheap kuliko mtaani.
 
Mamlaka ya chakula na dawa wangepata taarifa hii!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
hasa wakati boom linakaribia kwisha. hahahah... viva large stores.
 
Hawa jamaa naweza kusema wamefanya haraka sana kufungua haya maduka wangesubiri wamalize kila kitu kwanza. hata shoprite wanaonekana walikuwa wazuri si kwa sababu ya ubora ila kwa sababu NAKUMAT wanaonekana kutotimiza vigezo
 
Hawa jamaa naweza kusema wamefanya haraka sana kufungua haya maduka wangesubiri wamalize kila kitu kwanza. hata shoprite wanaonekana walikuwa wazuri si kwa sababu ya ubora ila kwa sababu NAKUMAT wanaonekana kutotimiza vigezo
that's true. unajua vile uchumi wamefungua three stores fasta, nakumatt walichachawa sana ukizingatia ni largest retailer in EA.

ni ukweli usiofichika kwamba shoprite walikuwa na bidhaa nyingi sana pamoja na mapungufu yao. ni unoko wa serikali tu ati walijaza sana bidhaa za south africa kuliko za nyumbani tz. Shoprite opened its first shop in Tanzania in 2001 and its exit comes a few months after the Tanzanian government warned it against rampant importation of products from South Africa, inasema taarifa moja kwenye the guardian on sunday, march 30, 2014. sawa, ni lazima wakuze uzalishaji wa ndani. sasa kama wazawa wanazalisha bidhaa duni au hawazalishi kabisa serikali ilitegemea wafanyeje? ukizingatia SA ipo SADC na wana haki ya kutumia fursa. sasa hawa uchumi na nakumatt watajaza bidhaa za kenya na watajitetea na EAC, hapo vipi?
 

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, utakuta shoprite wamefunga kwa unoko wa watu wachache
 

Mkuu KKO mbogamboga mpaka saa 6 usiku mtaa wa msimbazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…