that's true. unajua vile uchumi wamefungua three stores fasta, nakumatt walichachawa sana ukizingatia ni largest retailer in EA.
ni ukweli usiofichika kwamba shoprite walikuwa na bidhaa nyingi sana pamoja na mapungufu yao. ni unoko wa serikali tu ati walijaza sana bidhaa za south africa kuliko za nyumbani tz. Shoprite opened its first shop in Tanzania in 2001 and its exit comes a few months after the Tanzanian government warned it against rampant importation of products from South Africa, inasema taarifa moja kwenye the guardian on sunday, march 30, 2014. sawa, ni lazima wakuze uzalishaji wa ndani. sasa kama wazawa wanazalisha bidhaa duni au hawazalishi kabisa serikali ilitegemea wafanyeje? ukizingatia SA ipo SADC na wana haki ya kutumia fursa. sasa hawa uchumi na nakumatt watajaza bidhaa za kenya na watajitetea na EAC, hapo vipi?