Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Changa moto ni kawaida katika biashara yoyote, na hizo changamoto wanazopitia hsimanishi ya kwamba wanaelekea kufilisika.Wewe huwa unaangalia JKL live on citizen. Hiyo habari wameongelea jana on Citizen TV. Kumbe toka 2016wanasumbuka nahi kitu. Pole kwa Nakumatt. Hiyo news ilikuwa kwa citizen tv jana.
Hii sio mara yao ya kwanza kupitia hiya.
Uchumi kwa sasa Kenya unakua polelole, kwasabababu ya wasiwasi juu ya uchaguzi ujao na ukame. Na ni biashara nyingi zinaxopitia changamoto hili.
Lakini mambo yatakuwa sawa tu baada ya haya.