Kwa ujumla uchumi wa Kenya sio mzuri, na hakuna dalili kwamba utaimarika tena kwa kutegemea sectors za uchumi zilizopo kwa sasa, nikimaanisha, Manufacturing, Kilimo, tourism, service and financial industries and Transport and logistics, karibia zote zinafanya vibaya kutokana na ushindani toka nje, au mazingira ya kisiasa sio rafiki kwa uchumi kufanya vizuri, au hali mbaya ya hewa, au gharama za uzalishaji kuwa juuAisee..... Hali ya Uchumi kwa baadhi ya organisation upo hohehahe
Hata KQ pia uwezekano wa kufilisika ni mkubwa sana, kiujumla Kenya inahitajika kufanya mageuzi makubwa sana katika sera zake za uchumi, duniani kwa sasa uchumi umetikisika sana hasa baada ya china kutikisika kwa kupungua kasi ya uchumi wake.Nakumatt imekuwa sasa ni aibu kubwa kwa Kenya na wakenya...