NAKUMATT yazidi kuumizwa: Mali zake kupigwa mnada Novemba 2017

NAKUMATT yazidi kuumizwa: Mali zake kupigwa mnada Novemba 2017

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Hii ni kwa mujibu wa Govt Gazette notice nambari 10098 ya Oktoba 13, 2017.

Nini hatma ya Nakumatt?

Screen Shot 2017-10-16 at 12.45.49.png
 
Unakuta bado watu wanashabikia Mvutano wa Uhuru Na Raila
uchumi unaazidi kuyumba Kazi ipo
 
Aisee..... Hali ya Uchumi kwa baadhi ya organisation upo hohehahe
 
Aisee..... Hali ya Uchumi kwa baadhi ya organisation upo hohehahe
Kwa ujumla uchumi wa Kenya sio mzuri, na hakuna dalili kwamba utaimarika tena kwa kutegemea sectors za uchumi zilizopo kwa sasa, nikimaanisha, Manufacturing, Kilimo, tourism, service and financial industries and Transport and logistics, karibia zote zinafanya vibaya kutokana na ushindani toka nje, au mazingira ya kisiasa sio rafiki kwa uchumi kufanya vizuri, au hali mbaya ya hewa, au gharama za uzalishaji kuwa juu
 
Nakumatt supermakert za Dar ni kama zimefirisika, wanauza tu ili kumaliza stock..Nilienda pale kamata juzi hawana hata MO Passion.
 
Nakumatt imekuwa sasa ni aibu kubwa kwa Kenya na wakenya...
Hata KQ pia uwezekano wa kufilisika ni mkubwa sana, kiujumla Kenya inahitajika kufanya mageuzi makubwa sana katika sera zake za uchumi, duniani kwa sasa uchumi umetikisika sana hasa baada ya china kutikisika kwa kupungua kasi ya uchumi wake.

Leo nimesoma CEO mpya wa KQ ameamua kufuta safari za China na Taiwan na kuchelewesha kuanza safari za US, ninadhani anajua nini anataka kufanya, ni mategemeo yangu anaweza japo kuipa uhai KQ, otherwise dalili sio nzuri kabisa kwa KQ
 
Back
Top Bottom