Nakumbuka EDMUND rice sinon, njoo tukumbushane tuliopita huko

Nakumbuka EDMUND rice sinon, njoo tukumbushane tuliopita huko

RealityCode

Member
Joined
Sep 30, 2026
Posts
50
Reaction score
145
Habari za mda huu waungwana..

Nilisoma Edmund rice sinon arusha,enzi zile za head master Frank na academic master yassin,we ogopa hivyo vichwa jamaa alikuwa usafiri wake ni baiskel na kagari kamoja kamechoka land cruiser huyu head master alikuwa hana show off zake vibukuta na buti kubwa,nakumbuka siku moja tulicheza mpira na shule moja arusha sihitaji hapa ikatokea ugomvi,jamaa aliingia uwanjani na kutembeza kichapo pekee yake dakika 5 uwanja wote mweupe.
Kesho yake akawa anapita kiladarasa na kusema yesterday was wonderful,hii shule ilikuwa na wanafunzi wahuni sana sio wanaume wala wanawake..
Ebu wadau njoo tujikumbushie
 
Back
Top Bottom