Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

Ni mwaka Gani huo!? Neno ku**rwa mlikua hamjalisikia? This doesn't make sense. Na kingine, kama huyo alijua bikra inatolewaje means alijua kabisa mbadala wake ni upi, na alijua anachokifanya. Miaka 16 anautambuzi maana Kwa wanawake Tyr anakua kabalehe.

Labda kama mlikua kijijini ila Bado ntashangaa!!

hata hio kijijini bado sio rahisi kihivo, miaka 16 ni mingi sana kwa mtoto wa kike
 
Sio wasichana , sio wavulana, makebo yao sasa ni dili.

Vitoto vinazibuliwa mitaro sio mchezo kulaleeeeki.

Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba anakuona mshamba. Video za wao kuliwa mimavi nje nje kila kona zimetapakaa, yani ni trend

Vivulaana vimekuwa dhaifu sana, gay porns zinawaharibu, LGBTQ mitandaoni, malezi ya upande mmoja na tamaa ya vitu vikubwa. Siku hizi video za shuguli zimejaa vijana wengi wa kiume mashoga, sasa hizi hawaoni haya maana wamekuwa wengi mno.
Kaburi lao sio ana sex, but so called “social media” hii kitu inawaaribi sana kuliko sex
 
Babu mkao wa dirisha ukoje, nguvu bado zimo zimo nataka niijaribu hiyo
Hahaha...........Mjukuu, mwenyewe nimeisikia humu humu hiyo style, ila wenyewe vijana wanasema unatakiwa kupanda juu ya dirisha ukiwa kama unataka kuchuchumaa hivi then jamaa anakuja kwa nyuma

Wanasema hata kama alikuwa timu kiba, unaweza kuhisi amekuwa mandingo ghafla

Koh koh koh, naona kiko imenipalia mjukuu 😜
 
Itabidi niijaribu nikivunjika nyonga, lawama kwwko
 
Back
Top Bottom