Nakumbuka Mitihani yetu ya Darasa la Saba ilikuwa inaanza ivi

Dah haya mambo yalikuwa mazito, sasa usiombe kukutana na swali la umri, yaani ukisolve vibaya unaweza jikuta mjukuu ana miaka mingi kuliko bibi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

halafu wewe una undugu na emmanuel fungo?
 
Hivi wee hunioni haya kila mtu anakukosoa wee! Vitoto vya hivi ndyo vile vilivyopata kila kitu kwa kulala chali
inakuwa hivyo kwa sababu hesabu ni janga la kitaifa, zaidi 80% ya kidato cha nne wanapata F, so hawa wanaokosoa ndio kati yao, hesabu hawaijui hadi wanashindwa kutofautisha hesabu za sekondari na msingi
 
Wewe ndiyo kilaza unakataaje hilo swali si la shule ya msingi wakati kipindi chetu tulifanya tukiwa primary! Nyingi ndiyo mnayoidhalilisha elimu mnajifanya wajuaji kumbe hopeless kabsa
wewe unajua hesabu? kama unajua hesabu na umepitia sekondari nipe jibu la hilo swali, maana mtu aliyemaliza form 4 hashindwi swali la darasa la saba
 
sina haja ya kuweka matokeo, ila jibu la hilo swali ni saa 5 asubuhi, na kama unajua hesabu na wewe hebu nipe njia ya kufikia hilo jibu, maana siwezi ku argue a watu tunaotofautiana sana uelewa ni kupoteza muda
Haaaaa unajitetea tu haya jibu elimu ya msingi ulimaliza lini?
 
Haaaaa unajitetea tu haya jibu elimu ya msingi ulimaliza lini?
hiyo haijalishi hata kama nimemaliza mwaka juzi maswali ya necta ya 80s nitayajua kama nilikuwa nafuatilia hesabu, yapo vitabu vya review vya necta
 
Haaaaa unajitetea tu haya jibu elimu ya msingi ulimaliza lini?

Mkuu mbona unashindwa kumwelewa dada wa watu? Kashasema hata kama amemaliza mwaka jana, review zipo, past papers zipo na anaweza kuwa amezi-solve.

Na kashajibu kwamba hiyo ni topic ya kinematics form 3, sasa wewe unatuambia ni topic gani darasa la saba?
 
hiyo haijalishi hata kama nimemaliza mwaka juzi maswali ya necta ya 80s nitayajua kama nilikuwa nafuatilia hesabu, yapo vitabu vya review vya necta
Naona chinchilla we ni mkali wa hesabu,yaan inaonekana ukiona tu swali bas unafaham ni lamwaka gan,gud.
 
Naona chinchilla we ni mkali wa hesabu,yaan inaonekana ukiona tu swali bas unafaham ni lamwaka gan,gud.
nafahamu ni la level gani sio mwaka, hesabu nilikuwa siipendi, nili battle nayo sana nikaja kuipenda sana, hadi sometimes nai miss natamani niache kazi yangu nikawe mwalimu,
 
ni hesabu, physics masuala ya mwendo yalikuwa ni form 2, sio form3.. kwenye Newton's laws of motion

Sure nimeiona, nimejaribu kutafuta syllabus ya miaka ya 2000 kushuka chini sijaiona, nadhani hapo kuna topic mpya ziliingizwa na baadhi kuondolewa.

All in All uko sahihi.

Hesabu za form three topic zake ni hizi hapa chini:-

1. Relations
2. Functions
3. Rate and Variation
4. Statistics
5. Kinematics
6. Sequence and Series
7. Circles
8. The Earth as a Sphere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…